Dj Bonny katka mtambo!!

DJ Bonny Lov kwa mtambo akiwarusha watu waliokuja kula nyama choma, kati ya madj ambao wakiwa wanapiga mziki Tanzania na nabaki nikitoa macho ni huyu braza. Nakuheshimu sana bro na nakupenda sana