HII NDIO MAISHA CLUB MTWARA!!

 Picha inaonyesha lango kuu lakuingilia ambapo kutakuwa na Red Carpet ya nguvu na watu mbalimbali pamoja na wageni waalikwa watapita katika zulia hilo jekundu. 
Hapo mafundi walikuwa wanamalizia kuweka taa fresh fresh pamoja na vitu vidogo vidogo!!
Na hii ndo sehemu ya DJ a.k.a mshughulikaji!!

Categories: