KANGA MOJA NDEMBENDEMBE HUENDA KUBARUA CHAO KIKAOTANYASI!!

wazee wa Laki si Pesa wakiwa jukwaani

Kikundi maarufu cha unenguaji chenye maskaniyake hapa jiji Dar es Salaam  kinachojulikana kwajina la Kanga Moja Ndembendembe huenda kibarua chao kikaota nyasi hivi karibuni.hyo yamefahamika mwishoni mwa wiki iliyopita kutokana nabaraza la sanaa Taifa kuhitaji kukaa kikao na Chama cha muziki wa dansi nchini CHAMUDATA
ili kujadili swala zima la vikundi na bendi mbalimbali nchini zinazokiuka madili ya kutanzania.kikao hicho ndicho kitatoa hatima ya kundi hilo la Lakisi pesa ambao huvalia khanga moja jukwaani na hivyo huchangia ongezeko la vitendo vya ngono!!

Categories: