UZINDUZI WA ALBUM YA WEUSI_MUZIKI MZURI

Show hii itakuwa pande za IRINGA siku ya tarehe 31 mwezi huu wa 3 katika ukumbi wa HIGHLAND HALL na kiingilio kitakuwa ni sh 10,000 tu  na tarehe 1 mwezi wa 4 watakuwa MOROGORO katka ukumbi wa FOURSTAR CLUB kwa kiingilio cha 7000 tuCategories: