BARCELONA FC VS REAL MADRID (El Clasico match goals highlight)

Bingwa wa Laliga sasa Ajulikana baada ya El Clasico match 21/04/2012   baada ya Real Madrid kuichapa Barcelona 2-1 katika uwanja wao wa nyumbani (new camp)haliambayo imewaweka vijana hao wa Catalonia matatani. na kuonekana kuwa Ronaldo akiongoza kwa  kutupia magoli baada ya kuipa Real bao la ushindi.

Cristiano Ronaldo: 42 goals
Lionel Messi: 41 goals

Categories: