BEEF KAT YA ROMA MKATOLIKI NA IZZO B LAISHIA JUKWAANI DAR LIVE!!

Izzo B ndio alianza kupanda kwenye stage kwenye mida ya saa tano usikuAlipoamua kuvua T shirt.

Roma Mkatoliki alipoingia tu shangwe lilizidi sana na watu wakazidi kujaa karibu na stage.


Darasa, Izzo B & Roma... kiroho swafi no beef!!

Baada ya showwalipata nafasi ya kupigwa picha Exclusive, hapa ni Izzo B akimtania Roma kuonyesha kwamba hakuna beef kati yao, kilichofanyika kabla ni majigambo tu ya muziki.Pia Izzo B alikiri kuwa Roma nimkali na yupo tayari kwa kolabo hata iwe saa 8 usiku.
Roma mkatoliki alionekana kumfunika Izzo B kwa washabiki wengi:

Categories: ,