DIAMOND PLATNUMS AAMUA KUMTANGAZA MPENZI WAKE MPYA


Hichi ndiocho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe alimruhusu millad Ayo kuitumia hii.... Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi.

Hii ilipatikana kwenye account zao za facebook siku kadhaa zilizopita na ilikua ni moja kati ya dalili kwamba wako pamoja.
story from www.millardayo.com
.

Categories: