THE GAME AAMUA KUCHORA TATTOO ZA WANAE


Rapper The Game ameamua kuchora tattoo za sura za watoto wake kwenye mwili wake ambapo wawili ni wa kiume,King Justice na Harlem, na mmoja wa kike ni Cali.

Categories: