HAKI ELIMU KWAKILA MTANZANIA

Inasikitisha sana. watoto wa wakubwa wanasomaga  shule za watu  binafsi kwamwaka 1 wanalipia ada ya Tsh laki 8 nazaidi. Je mtoto wa mkulima atayaweza? Mwisho wa yote wanafanya mtihani 1 fikiri je tunajenga taifa la watu gani? Ninani atakaye mkomboa mtoto wa masikini? Inauma sana jamani hebu serikali wafumbue macho na kuangalia upande wapili wa tanzania ambao wananchi wengi wahuko ndio wapiga kura .Na humo humo kijijini wangesaidiwa ndipo walipo madaktari wazuri ambao ndotozao hazijapata mtimizaji ambae ni serikali
Hapo tunaona wanafunzi wamebeba matofali na wala hawaijui kesho yao sababu wangeona watoto wa vigogo wanavyo soma kwa raha nazani wangekata tamaa mapema sana:NI MTAZAMO TU!


Categories: