HAYO NDIO MAJIBU KUMI YATAKAYO KUZIHIRISHIA KUWA YOUR BOY/GIRLFRIEND WAKO HAKUPENDI;


Ukitaka kujua Msichana/mvulana wa chuo hakutaki haya ndia majibu yake.....
1.Baby tutaongea badae naingia lecture 
2.Jamani Hny skuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweety sina credit that's why sjakujibu sms yako
4.Tuko dis-cation ntakubeep badae dia
5.Simu haikuwa na chaji jamani (hapo alikuzimia)
6.Nipo na kaka/dada yangu uspige simu(hapo kakuinbox baada ya kukukata cm)
7.Nina presentation kesho hatuwezi kuonana
8.Room mate wangu anamgeni usije leo
9.Nipo library nitakutafuta badae (kwasauti ya chini)
10.Nili renew line majina yakafutuka/display inazingua (kumbe alifuta # yako)
JAMANI UKIONA MAJIBU HAYA UJUE HUNA CHAKO; CHUKUA HA2A2:

Categories: