KILIMANJARO MUSIC AWARD WIENERS COUNT DOWN! 1-23

 

TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2012
1. Wimbo Bora Wa
Reggae- Arusha Gold by
Warriors from East
2. Wimbo Bora wa
Dancehall- Maneno
Maneno by Queen Darlin'
3
. Wimbo Bora Zouk
Rhumba- Dushelele By Ally
Kiba
4
. Wimbo bora wenye
vionjo vya asili- Vifuu
Tundu By A.T


5
. Wimbo Bora wa Taarab-
Nani kama Mama By Isha
Mashauzi
6
. Wimbo Bora wa
Kiswahili(Bendi)- Dunia
Daraja By Twanga Pepeta
7
. wimbo Bora wa Afro
Pop- Hakunaga By Suma
Lee
8
. Wimbo Bora wa R&B-
My Number 1 Fan By Ben
Pol
9
. Wimbo Bora wa Hip
Hop- Mathematics By
Roma
10
. Msanii Bora
Anayechipukia- Ommy
Dimpoz
#*Ujana Ndo Huu*#
11. Rapa Bora wa Bendi-
Kitokololo
12
. Msanii Bora wa Hip
Hop- ROMA
13
. Wimbo Bora wa
Kushirikiana- Nai Nai By
Ommy dimpoz ft Ally Kiba
14
. Wimbo Bora Afrika
Mashariki- Kigeugeu By
Jaguar
15.
Mtumbuizaji Bora wa
kike- Khadija Koppa
16
. Mtumbuizaji Bora wa
Kiume- Diamond Platnumz
17
. Mtunzi Bora wa
Mwaka- Diamond
18
. Producer Bora Wa
Mwaka- Maneck
19
. Video Bora ya Muziki
ya mwaka- Moyo Wangu
By Diamond
20
. Wimbo Bora wa
mwaka- Hakunaga by
Suma Lee
21
.(i) Hall Of Fame(Taasisi)-
JkT Taarab
 (ii)-Hall of Fame(Binafsi)-King
Kiki
 (iii)-Hall of Fame(Binafsi)-
Remmy Ongalla
22
. Mwimbaji Bora wa
Kike- Lady Jay Dee
23
. Mwimbaji Bora wa
Kiume- Barnaba


#WADAU MNASEMAJE? HAKI IMETENDEKA?

Categories: