KUPITIA MKASI YA EATV: LULU AWEKA MAMBO HADHARANI!!

huyu ndie muigizaji mdogo lakini mwenye mambo makubwa sana,leo katika mazungumzo yake na Salama J katka kipindi cha Mkasi EATV ambapo aliweza kuzungumzia maisha yake kwa ufupi japo alikuwa akisita kuzungumzia baadhi ya mambo.Alifunguka nakusema kuwa yeye
hapangiwi lakufanya na familia yake japo kiumri unaweza kumuona  bado ni mtoto mdogo, pia alisema huwa anajihisi vibaya akiandikwa nakusemwa  vibaya katika vyombo vya habari ndio sababu huwa anajishtukia kila apitapo mahali.Swali likaja hivi;
Ilikuwaje hadi kuwa super star na kufkia ha2a hiyo hapo? Jibu ni Doctor cheni ambaye aligundua kipaji chake na humpeleka kule Kaole sanaa Group kipindi hicho akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na ndio ndotoyake ya uigizaji ilipotimia ambapo kwa sasa anandoto yakuwa msanii wa mziki wa kizazi kipya bongo fleva!!!
Swali jengine likaibuka "vipi kuhusiana na skendo nzito za mapenzi unazopewa?" mwenyewe akadai kuwa hajawahi kuwa na mahusianao ma mtu maarufu ikiwemo wa muziki wa Bongo, licha ya kuwa alisha sibitisha kupitia Clouds Fm kuwa alishawahi kuwa na uhusiano na msanii flani hapa Bongo, pia alikanusha ile kashfa kuwa yeye anapenda kutoka na wasichana wenzie kimapenzi nakudai kuwa huo niuzushi tu wa wasiompenda. Mwisho swali likaja "lulu vipi kuhusu Elimu"hapo ilianza kujingata mara nipo chuo gafla nimeishia kideato cha nne 4 na nnatarajia kurudi kwenyeelimu baadae!!! huo ndo ulikuwa mkasi wa leo na Slama!!!!!!


Categories: