NENO LA MRIRHO MPOTO KWA LULU NA MAREHUM KANUMBA!!

"NENO NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI"
Lulu ni Mtanzania mwenzetu, rafiki yetu,mdogo wetu pia.chuki tunayoanza kutengeneza kati ya Marehemu kipenzi cha wengi "KANUMBA" na Lulu ningeomba tuache kwanza, tumpumzishe mwenzetu kwanza kesho. ANGALIZO TU

Categories: