FURAHA TENA KWA REAL MADRID FANS!

Kocha Jose Mourinho amesaini mkataba mpya na Real Madrid ambao utamfanya akae nayo mpaka 2016.Jose Mourinho aliwahi kusema kwamba angeondoka Real Madrid january 2012 kitu ambacho hakikutokea, ni moja ya janja yake kuangalia kama angepata ofa yoyote kutoka club za Uingereza.
Bahati mbaya timu aliyokua akitazamiwa kujiunga nayo (Chelsea) ikafanya vizuri kwenye Champions League bila yeye kuwepo na pia Man City ikafanya poa chini ya Kocha Mancini.

Categories: