HILI NDIO BASI LA NBS LILILOPATA AJALI NA KUUA LEO.

Leo saa nne asubuhi imetokea ajali ya basi la NBS lililokua likitokea Tabora kwenda Arusha ambapo lilipasuka Tairi la mbele likagonga mti na kuung’oa na kisha kupinduka ambapo hadi sasa kuna maiti sita zilizofikishwa chumba cha maiti.
Sophiakessy.blogspot.com imeandika kwamba Waliofariki pia ni pamoja na dereva wa basi hilo ambae mwili wake bado haujatolewa kutokana na kubanwa sana ambapo mwili wake unaweza kutolewa baada ya basi hilo kukatwa manake sehemu aliyobanwa ni mbaya sana, 

.
Photo from millardayo.com

Categories: ,