HILI LINAMHUSU KILAMTU!

Kama duniani kunadhambi kubwa na ndogo basi kumdharau MAMA itakuwa dhambi kubwa kuliko zote. Sababu katika waliookoa maisha yako wakwanza MUNGU wapili Mama yako.
Jaribu kuwa mstaarabu hatakama kakuudhi yeye.!
Huo ni mtazamo wangu 2!

Categories: