HUYU MTU OFFICE KUBWAA KUANDIKA HAJUI!!

Hpo sjui alikuwa anamaanisha nini? na sjui kama alisoma somo la kiswahili vizuri!!
Anbalizo: kwa waandishi wa mabango na sticker za magari kuweni makini na lugha mnayo tumia sababu huwa wanasoma watu wengi na wenye uelewa tofauti kwahiyo inabidi kuwa na dictionary wakati unachora/andika tangazo. 

Categories: