MATOKEO YA KIDATO CHA SITA , NA SHULE ILIYOONGOZA.

Dr Joice Ndalichako.
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita leo pia NECTA imepunguza adhabu ya miaka 3 na kusema sasa adhabu itakuwa ni mwaka 1 kwa watahiniwa waliofanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne 2011.
 Shule inayoongoza ni MARIAN GIRLS ya Bagamoyo Pwani.
hayo ni mazingira ya shile ya Marian Girls;

Categories: