MATOKEO YA PREMIER LEAGUE NA PRIMERA DIVISION MAY 2 2012 NA WAFUNGAJI WAKE..Mfungaji wa magoli ya NEWCASTLE.

Kushoto ni mfungaji wa Bolton na kulia ni wafungaji wa Tottenham, goli lao jingine lilifungwa na Adebayor kwenye dakika ya 69.

Kushoto ni wafungaji wa Barcelona na kulia ni mfungaji wa Malaga.

kulia ni wafungaji wa Real Madrid ambapo Ronaldo alifunga mawili, jingine ni kwenye dakika ya 50.

Kushoto ni wafungaji wa Valencia.

Kushoto ni mfungaji wa Atletico Madrid na kulia ni mfungaji wa Real Sociedad.


From: http://millardayo.com

Categories: