MATOKEO YOTE YA MECHI ZA MWISHO WA MSIMU PREMIER LEAGUE LEO.

League ya England imeisha kwa matokeo hayo hapo kuna zilizoshuka daraja na zilizopanda. Jumla ya magoli   #32 yameweza kupatikana katika mechi 10 zilizo  chezwa leo hii inaonyesha upinzani wahaliyajuu!!
Ushauri/Maoni/mtazamo wangu: Ningependelea  ulemuda wa nyongeza ambao huwa ni dakika 3' na kuendelea huwa zinaharibu mchezo kwahiyo zingefutwa kwani twajua mpira nidakika 90'. hebuona kama leo hii dakika nyingi za nyongeza  za referee zimeharibu matokeo ya league kwa Man u. 
Yani Man U tumekosa ubingwa dakika za mwisho kabisaa lakini ndio mchezo huo!

Categories: