HONGERA MILLARD AYO!!

Nimtangazaji mwenye sauti yaajabu inayovutia wa clouds Tv/Fm namzungumzia Millard Ayo presenter wa kipindi maarufu cha Amplifier cha clouds fm ambae ameandaa Makala kamili ya arobaini ya marehem Kanumba 17/05/2012 ambayo imeweza kutupatia taswira fulani kuhusu maisha na msiba wa kanumba  Hata mim binafsi had na post hapa bado naiskiliza coz inleta hisia flani!

Categories: