PICHA ZA WASANII WA BONGO FLEVA WAKIWA STUDIO KUTUNGA NA KURECORD WIMBO WA "MBONI YANGU"

Wimbo huu ni maalum kwa ndugu yetu msanii Sajuki ambae anahitaji mchango wako wako wa hali na mali kuokoa maisha yake.
Coordinator  : Ruge Mutahaba & Dina Marios
Director     : Mwasiti Almasi
Producer     : Tuddy Thomas
Madee akipitia mashairi yake.

Madee akirekodi sauti

Zamu ya Amini

Peter Msechu

Profesa Jay akiandika mistari yake


Afande Sele nae akiandaa mistari yake


Fid Q hakubaki nyuma

Ditto
William Mtitu

Wema Sepetu
Kiba.


Mwana FA

 Mzee Yusuph 

Mh.Vicky Kamata
kazi ilifanyika kwamoyo japo ilikuwa kubwa ambapo iliwabidi kukesha studio hongereni wasanii wote mlo shiriki na ambao hamkupata nafasi hiyo kwani naamini bado 2po pamoja. 

Categories: