TUNAOMBA JAMII MSITUTENGE JAMANI

11832.aspx
MAPACHA wa Nollywood, Chidiebere na Chidinma  Aneke wamewaomba watoto wasiwakimbie wanapowaona mitaani kwavile wanachoigiza kwenye runinga sio maishayao halisi 
Wasanii hao wamedai kuwa niwatoto wachache ambao wamethubutu kuwasogelea kwani wamekuwa wakizani kuwa wanaroho mbaya na wakatili kwa watoto kama walivyo fanya katika baadhi ya filamu zao.
"Watoto hawataki kuamini kabisa kwamba sisi na marafiki zao.Hawaamini kuwa yale nimaisha ya kufoji wakituona wankimbia wakizani ni wauwaji. Msanii unavyoigiza kama mtu mwenyeroho mbaya jamii inakutafsiri tofauti."

Categories: