WASANII WATANO WA HIP HOP BONGO WENYE MAAJABU JUKWAANI!!

Wasanii hawa inasemekana na imeonekana kuwa Huwa wanafunga show yani Wamwisho ku_perform kwasababu wakikutangula wanakufunika na huwezi Kubadilisha  tena Hisia za washabiki! 
Huu nimtamo wa   kijiweni.com 
Professor Jay (the heavy weigh emcee)

Fid Q

Juma Nature 

John Makini  Hasa anapokuwa na kundi lake la weusi!

Roma Mkatoliki 
Hao nwatano tu waliozungumziwa sana kwaupande wa hip hop bali kunavichwa vingine vilivyoweza kutajwa pia!