New Video; P-Square Ft Rick Ross__Beautiful Onyinye!

Baada ya kungara na Ngoma yao waliomshirikisha  Akon - Chop My Money na kuliwakilisha vilivyo bara la Africa kwa mafanikio waliyo nayo kimuziki, Sasa P-Square wamekuja na ngoma nyingine "Beautiful Onyinye" waliyo mshirikisha mtumzima Rick Ross.

Categories: ,