VIDEO: AY NA MWANAFA FA WALIVYOFUNIKA BIG BROTHER

Baada ya Diamondi kufanya show ya hatari alifuatiwa na DJ Fetty  ambae nae aliwaburudisha vilivyo members na wageni wa BBA week kazaa zilizopita.  Jana lilikuwa zamu la AY & Mwana FA  ambao walipata shangwe za kutosha na waliiwakilisha vilivyo Tanzania pamoja na Muziki wa Bongofleva. Kutokana na haliihii inaonyesha Bongofleva  kupiga hatua Kimataifa zaidi!!

Categories: , ,