Pole kwa wahanga wa Ajali ya Boti Zanzibar.


Kaka god Blogspot pamoja na wadau wake tunatoa pole kwa wahanga wa ajali ya boti ya  Mv SKAGIT  iliyo tokea jana mchana. Tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu  cha msiba na maombolezo, Mungu azilaze mahala pema peponi roho za marehemu .........Amen.

Categories: