Chris Brown & Drake Hit With $16 Milion Lawsuit Over Club W.i.P. Brawl

Night Club ya W.I.P iliyopo New York Marekani  Imewashtaki Drake na Chris Brown kwa kusababisha vurugu iliyo leta hasara kubwa kwa club hiyo mwezi June 2012
Hivyo Club hiyo inataka ilipwe fidia ya $16 million kutoka kwa Drake na Chris Brown kutokana na kuvunja sheria makusudi .na uharibifu wa mali.
Upande mwingine mchezaji wa mpira wa kikapu (Basketball) Tony Parker nae anashtaki kalabu hiyo ya W.I.P kwa kuumizwa jicho wakati wa vururugu hiyo kati ya Drake na Chris Brown na anadai apewe fidia ya $4 million .

Categories: , ,