New Track:Cyrill Kamikaze ft Ney wa Mitego - Kisa BBM

“kama upo kwenye ulimwengu wa Blackberry Messenger nikimaanisha BBM hii nyimbo inakuhusu,waambie na wengine ambao wapo pia nawasikuwepo waickie na ku download wajue jinsi BBM inavyofanya mtu kua busy mpaka kusahau mpenzi wake..nyimbo inaitwa Kisa BBM’ - cyrill kamikaze ft ney wamitego

Categories: , , ,