Sharo Milionea Fans!! Hii inawahusu.Nani kasema kazi yakuchekesha hailipi? inalipa na ina soko kubwa sana. mkali wa comed na kuimba tanzania sharo milionea amenunua gari lenye thaman ya shilingi milioni 15 za kitanzania aina ya Oper.

Categories: