Willow Smith Nyota Katika Remake ya 'Annie' na Jay Z Kufanya Soundtrack.


Mtandao wa Playbill.com unaripoti kwamba Willow Smith, binti wa Will na Jada Pinkett Smith atakua nyota atakae ongoza katika remake ya 1982 Movie Musical, "Annie:, ambayo itaanza production katika spring ya 2013 in NYC
Rapa Jay Z ambaye ni mfufuzi wa
 "Annie" classic It's the Hard Knock Life" kuwa "Hard Knock Life (Ghetto Anthem)" kwaajili ya album yake yatatu Vol.2   
Movie itaendelea kujumuisha nyimbo za jadi za Charles Strouse & Martin Charnin.Ukarabati wa mouvie utakuwa produced na Smiths kwakushirikiana na Jay Z.

Beyonce, Jada-Pinkett Smith, Jay-Z, and Will Smith

Categories: , , ,