RICKY ROZAY LIVE IN DAR ES SALAAM – OCTOBER 6 – FIESTA 2012


Muda mfupi uliopita Kituo cha radio  Clouds Fm kupitia kipindi chake cha XXL wame confirm kwamba Big Boss wa Maybac Music "Rick Ross" ata perform katika jukwaa la Fiesta October 06/ 2012 jijini Dar Es salaam 
Tayari Rapper huyo amesha record sauti yake inayosema yupo tayari kutua Tanzania kwaajili ya show hiyo ya mwaka!
Fiesta 2012 Bhaaaassssss

Categories: , , , ,