CHRIS BROWN NA TATOO MPYA YA RIHANNA


Hivi karibuni Chris Brown ameonekana na tatoo mpya kwenye Shingo yake.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 23 amezua maneno kutokana na tatoo hiyo ambayo inaonesha sura ya mwanamke aliyepigwa na watu wanaisi na kufananisha anaeonekana katikaka tatoo hiyo ni Rihanna kwa kukumbuka kitendo cha Chris Brown alivyompiga Rihanna kipindi cha nyuma. Hadi sasa haijafahamika tatoo hiyo inamaanisha nini kwa upande wa Chris Brown

Categories: , ,