Picha 5 za Chris Brown Akiwa Mahakamani


Jana Chris Brown alikuwa mahakamani kusikiliza kesi yake ya kumpiga Rihanna.
Pia aligundulika kuwa anaendelea kuvuta bangi ila Chris Brown aliwaambia maofisa kuwa alivuta bangi jimboni California ambako anaruhusiwa kuitumia kiafya lakini  Sio jimboni Virginia ambako bangi ni haramu.
Na sasa kesi yake inahamishiwa jimboni California ambako anaishi kwa sasa.Categories: , ,