DOGO JANJA; Sasa ni Janjaro na sio Dogo Janja


Siku ya tarehe 15 September alipewa jina la Janjaro badala ya lile lililozoeleka la Dogo janja baada ya kufikisha miaka 18. Jinahilo alipewa na Meneja wake anayejulikana kwa jina la Ostar Juma na musoma.Kwa hiyo anapenda mashabiki wake wajue kwamba yeye anaitwa Janjaro na wala sio Dogo janja tena.Hayo ndiyo maneno ya msanii huyo baada ya kufikisha miaka 18.Mfano mzuri ni Lil Bow wow , Lil Romeo ,Dogo Hamidu ,Dogo Ditto.