Watch Fidstyle Friday: with Stamina, Enjoy Tz Freestyle.Inatia moyo sana kuona juhudi kama hizi za wasanii kushikamana na kuamua kufanya kitu ambacho kitaikuza Hip Hop ndani ya nchi, kama sio kuivusha mipaka. Isitoshe hii itawasaidia kuwasilisha taarifa kwa mashabiki haraka na kwa ufanisi.

Categories: , , , ,