Breaking News: Dar Express, Arusha – Dar lateketea kwa moto


Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinadai kuwa basi la Dar Express lililokuwa linatokea Arusha kuja Dar es Salaam limeteketea lote kwa moto katika eneo la Segera, Tanga.
Inadaiwa kuwa abiria wote wamenusurika lakini mizigo yote imeteketea kwa moto.
Categories: , ,