CHIRS BROWN NA KARRUECHE WARUDIANA KATIKA UHUSIANO WAO


Kama unakumbuka siku za hivi karibuni mtu mzima Chris Brown kuna story ambazo zilikuwa zime headline sana katika mitandano mbalimbali kwamba Chris Breezy ameachana na mwana dada Karrueche katika uhusiano wao wa kimapenzi na kumrudia Rihanna.Sasa habari mpya kabisa ambayo tumeipata hivi sasa ni kwamba mtu mzima Chirs Breezy amerudiana na mwana dada Karrueche baada ya kukutana katika Dinner Party.