ANGALIA PICHA NYINGINE ZA TUKIO LA FUMANIZI LA TEMEKE


Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima P0LICE wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya  Temeke


UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 

Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao

Categories: ,