Ay wins Most Gifted African East Video "CHOMVA12

Msanii wa bongofleva hapa Tzee AMBWENE YESSAYA al maarufu kama AY amejichukulia tuzo ya Channel O Music Video Award 2012 "CHOMVA12katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR  Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE__ AY ft  Sauti Sol. wasanii kutoka A.Code 254
Video yenyewe hii hapa===> 

Categories: ,