Ifahamu Project mpya ya NONINI "Colour Kwa Face Project 2"

Take a Look at Nonini’s Latest Project (Photos)
Nonini ni mmoja kati ya wanamuziki wakubwa nchini Kenya hivi sasa kutokana na Muziki anaoufanya. Lakini pia Godfather huyo wa Genge anatambuliwa kutokana na miradi yake ya Kibinadamu(altruistic projects.)anayoifanya.
Hivi sasa Nonini yupo kwenye Project ya "Colour Kwa Face Project 2", Kampeni/project imelenga Kuwafahamu Albinos katika jamii na kuwakubali jinsi walivyo.
Hapo chini ni baadhi ya segments za Colour Kwa Face Project 2;

Categories: , ,