New Track: Goldie Harvey ft. AY - SKIBOBO

 
Mshiriki wa Big Brother Africa 2012 kutokea Nigeria mwanadada Goldie Harvey ameachia ngoma yake akiwa amemshirikisha AY Mshindi wa tuzo ya Channel O 2012. Ngoma iyo inayoitwa Skibobo
I skilize hapa!!!=>

Categories: , ,