NEW TUSKER LITE YAZINDULIWA RASIMI JIJINI DA ES SALAAM


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon (wapili kulia) , akiwa pamoja na wafanyakazi wa SBL wakigonganisha chupa zao za Tusker Lite kuashiria furaha ya kuzinduliwa kwa  bia hiyo mpya. Tusker Lite ilizinduliwa wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es Salaam jana.


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Steve Gannon 
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru 
Categories: ,