Picha za Gari la Diamond baada ya Ajali

  

Msanii Diamond alipata ajali barabara ya chole alipokua akitokea Sleepway kushoot video ya pini lake jipya lenye zengwe hatari tangu litoke (nataka kulewa). 
"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa ya arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na Rav4..lakini hakuna mtu alieumia," "unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara
zao bahati mbaya zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali, sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli hahhaaaaa i was just kidding." amesema  Diamond
  
Source====> Dj Fett Blog

Categories: ,