PICHA 5 ZA TUKIO LA AJALI YA MOTO KATIKA SOKO LA SIDO JIJINI MBEYA.

Ni tukio ajali kubwa ya moto iliotokea usiku huu wa December 29 kuamkia December 30.2012 na kuteketeza eneo la Soko la SIDO lililopo Mwanjelwa Jijini Mbeya 
The Brothers™ tunatoa pole kwa wahanga wa Ajali hii ya Moto 

Categories: , ,