Under The Same Sun wamtunuku Tuzo Rapper Fid Q


Katika mtandao wa kijamii wa Facebook leo Msanii wa Hip Hop kutoka Tanzania Fid Q leo amepost picha akiwa na Mr Peter Ash wa Taasisi ya Under The Same Sun inayojihusisha na kutetea haki za Binadamu wenye ulemavu wa ngozi, albino nchini.
Taasisi hiyo imemtunuku Rapper Fareed Kubanda [Fid Q]Cheti cha shukrani [certificate of Appreciation]kwa mchango wake katika kampeni ya Taasisi hilo.
Alieko Kushoto ni Mr Peter Ash ambaye ni mwanzilishi na Mwenyekiti mtendaji wa Shirika hilo huko nchini Canada.
Hongera Fid Q 

Categories: ,