Hatimaye Beyonce aonyesha Sura ya Mtotowake "Blue Ivy"

Baada ya Beyonce kufanikiwa akiificha sura ya Mtoto wake Blue Ivy, Hatimaye sasa ameuweka wazi uso wa mwanae  "Blue Ivy Carter". Hii Picha ni screenshot kutoka kwenye Upcoming documentary ya Beyonce inayokwenda kwa jina la " Life Is But A Dream
Sasa Baada ya Kuiona picha na sura kamili ya Mtoto Blue Ivy unaweza kusema " Blue" ni mchanganyiko kamilifu wa wote Beyonce na Jay Z ila sana sana Suza Imebase kwa Baba mfano Mashavu, Macho na Hata Kitu cha Mdomo yani ni copyright Jay-z.

Categories: , ,