MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE 2012


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa  ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maari fa na QT 2012.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni
16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na waliofeli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
=>Kupata matokeo kamili  BOFYA HAPA