New music: Camp Mulla----"If You Believe"

Kundi la Camp Mulla kutoka Kenya release single kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa Nchi yao ya Kenya ambao utafanyika March 4
Wimbo unakwenda kwa Jina la  If You Believe pia kunasauti ya mwanadada  Miss Karun, Camp Mulla wameandika "The Track stands for peace and is described as both a prayer and an awareness campaign for Peace and Prosperity in the beloved Kenya".
Have a listen…

Categories: ,