Picha 15 za video Shoot DOLE ya MABESTE ft DEDDY

Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video mpya ya Mabeste ft Deddy "DOLE" 
Video shooting imefanyika sehemu mbili tofauti  Ilala na pande za Mbezi beach katika hotel ya White Sands. 
Mtengenezaji wa video hii ni NISHER. ambae huwa anafanyia kazi zake pande za A-Town ila kwasasa yupo Dar.

Categories: , ,